Friday

Matiti sehemu ya mwisho!


Usafishaji

Pole msomaji kwa kusubiri, sina hakika kama sote tunajua jinsi ya kusafisha matiti. Ikiwa wewe unajua basi ujue kunamwingine hajui na kama ilivyo ada mahali hapa tunajifunza sio au kujazia/ongezea yale tunayoyafahamu.


Hakikisha unasafisha eneo zima la matiti hasa sehemu ya chini (ikiwa wameanguka tayari) kama ilivyo sehemu nyingine ya mwili wako, vilevile hakikisha chuchu zimejitokea na usafishe vema chuchu hiyo....hii sio kwa walionyonyesha au wanaonyonyesha tu bali hata wewe ambae hujawahi kuwa na mtoto.


Unatambua kuwa unapokuwa mtu mzima chuchu hutoa kashombo fulani hivi ambako husababishwa na utokwaji wa majimaji fulani unapokaribia hedhi na wakati wa hedhi (hii ni kutokana na matiti hayo kutengeneza maziwa incase utarutubisha yai lako).


Kunyonywa/chezewa matiti yako ili kuzuia yasianguke haraka;


Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe umeyashikilia, vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa(neno limekaa vibaya hili Kha!) anywho, basi afanye hivyo bila kuyahangaisha....kwamba ahakikishe yametulia.


Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi hakikisha mpenzi kayakamata sawia au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili kwa raha basi yashikilie....kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako yasilegee kabla ya wakati.


Ni wazi kuwa sote matiti yetu yanakwenda kulegea pale tutakapokuwa tunapoza homoni yaani tutakapo zeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa (over 40) sio sababu ya kujiachia.


Nakutakia mwisho mwema wa wiki, karinu tena mahali hapa.


Siku njema.

Sunday

Samhani! Lakini hii imeniuma sana.


Well, mimi binafsi sijawahi kuona haya mambo yakukeketwa mpaka asubuhi hii; Jamani kuna mila za kutokomeza.....huu ni ukatili wa hali ya juu.




Inaudhunisha sana.


Nitaendelea na somo la mwisho la matiti, pole kwa usumbufu.

Thursday

Utunzani wa matiti wakati wa hedhi na Ujauzito!


Natambua kuwa uvaaji wa sidiria wakati matiti yanakua, wakati wa hedi na wakati wa ujauzito ni karaha sana na unahisi kubanwa tu (kwavile yanauma kiaina) na hali hiyo hutufanya wengi kuachana nazo na kuachia matiti yakining'inia bila "support".


Kama nilivyosema awali kuwa matiti wakati wa hedhi huongezeka ili kuwa tayari kutengeneza chakula cha mtoto ambae kwa wakati huo yai lako linakuwa likisubiri kurutubishwa na mbegu ya kiume lakini hilo lisipotokea basi matokeo yake ni wewe kupata hedhi.


Si wanawake wote wanaopata maumivu/ongezeko la ukubwa wa matiti wakati wanakaribia hedhi na wakati wa hedhi, lakini ikiwa wewe ni mmoja kato ya wale ambao matiti huongezeka ukubwa unapokaribia na wakati wa hedhi basi hakikisha unafanya mazoezi kama niliyoeleza kule mwanzo na pia zingatia kuvaa sidiria wakati wote isipokuwa wakati wa kulala.


Vilevile kwa wamama wajawazito ni vema kuvaa sidiria ili kuyasaidia uzito wa matiti yako usiyavute kwenda chini hali itkayopelekea kuwa na matiti ya liyolala mara baada ya kujifungua.


Nikirudi nitamalizia najinsi ya kutunza matiti wakati wa unyonyeshaji pia wakati wa kufanya ngono (mfundishe mpenzi wako jinsi ya kuyachezea na kuyanyonya.....si

Monday

Vaa sidiria au vest kadili siku zinavyo kwenda!


Jinsi matiti yanavyokuwa ndio uzito wake huongezeka hivyo kama binti/mwanamke unahitaji kuyasaidia kwa kuvaa kitu ambacho kitayasaidia kubaki pale yanapopaswa kubaki......nina maana vaa sidiria.


Vest ivaliwe wakati ukifanya mazoezi au unaweza kujifunga khanga (nyepezi) chini ya matiti yako hali itakayosaidia matiti yasiume sana wakati unafanya unayasumbua(inategemeana na ukubwa wake).


Wakati nakuwa wanawake wengi walikuwa wakiamini kuwa kuvaa sidiria kunasababisha matiti kuanguka; sio kweli.


Kumbuka kutovaa sidiria wakati wa kulala kwani naweza kusababisha uvimbe (damu kujikusanya pamoja) ktk matiti yako na badala yake lala kifudifudi(lalia matiti yako a.k.a lalia tumbo)


Natumaini nyote mnalijua hili sio? kama mlikuwa hamjui sasa mnajua.


Nawatakia siku njema na karibuni tena nitakapomalizia swala zima la usafishaji na utunzajiwa matiti kwa wanawake waliondani ya mahusiano ya kimapenzi.


C ya!

Thursday

Mazoezi ya Matiti yanayoanza kujitokeza!

Kama nilivyosema awali kuwa ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda/zungumzia matiti kwa kuyaita "malapa"...."flapy" n.k.


Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yabaki/pumzike, kwamba hakuta kuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi...1

Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada/mama mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.


Zoezi....2

Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.


Zoezi...3

Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).


Baada ya hapo mimi nilikuwa nikienda kujiandaa tayari kwa kwenda shule nikiwa na hasira kibao kuwa nimeamshwa alfajiri.


Kila la kheri kwa hili...........sijamaliza hivyo usikose kutembelea tena.

ty.

Monday

Utunzaji wa Matiti


Nilipokuwa na kuwa, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza.


Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisha eti ni binti mwenye matiti.


Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk makabila fulani kwambailikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nani ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio).


Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi na mtiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba chikilimu (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!


Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kunajinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).


Usicheze mbali naja na maelezo mengine kukamilisha somo hili.


Asante kwa ushirikiano wako.

Tuesday

Sigina a.k.a saga!

Haya wajameni ngoja sasa nimalizie na ile kitu inaitwa “sigina” au saga, lakini kabla ngoja nikupe hadithi ya mkao huu. Kule kwetu tunatumia zaidi karanga zilizosagwa na kuwa laini sana a.k.a “ntili” kama kiungo kwenye mboga au kuweka kwenye uji badala ya maziwa yaani kama ilivyo nazi ktk mikoa ya pwani.

Sasa ili kusaga hizo karanga mapaka ziwe “ntili” kwamba laini utahitaji muda wa kutosha kufanya hivyo na vilevile kubadili mikao (inategemea na uwingi wa karanga unazo sigina/saga).

Kwa kawaida unatakiwa kukaa na kupanua miguu kisha waweka jiwe katikati ya miguu yako na kuanza “kusigina”, ukichoka unabadili mtindo na hapo unapiga magoti, unapanua kiasi sehemuya mapaja kisha unainamia kidogo mahali lilipo jiwe na karanga juu yake ili uweze “kusigina” vema….yeah naona sasa unaanza kuelewa hehehehehe raha hizi! Huu ndio mwisho wa hadithi yangu, tuendelee sasa na somo la mkao wa kusigina a.k.a saga.

Baada ya kukuru-kakara za kuwekana sawa/tayari kwa kufurahia tendo takatifu, mlaze mpenzi wako juu ya kitanda/mkekani au kwenye sakafu (inategemea mnapenda wapi na usisahaukuwa comfy), panua na wakati huohuo shikilia miguu kitendo kitakachofanya mapaja yake yainuke pia alafu wewe jiweke kati (rejea jinsi ya kusaga “ntili” ukiwa umepiga magoti hapo juu).

Alafu sogeza mikono yako mbele zaidi ili ushike sehemu yake ya mapaja pale ktk ili usije ukaangaka, mara baada ya kuwa kwenye “control” jisogeze mbele ili uume ukuingie ukeni na kisha anza kwenda mbele-nyuma taratibu huku na badilisha mwenda jinsi uwezavyo.

Wakati wewe unafanya hivyo yeye anatakiwa kuzunguusha kiuno (sio wanawake tu tunaotakiwa kukata viuno, wanaume pia mnatakiwa kujua kucheza ngoma ei zile za asilia........hahahahaha mtakoma) au hata kujisogeza huku na huku ili agonge pombe zote za uke na kuwafanya wote mfurahie mnachokifanya.

Ikifikia wakati umechoka au unakaribia kufika kunako utamu basi jaribu kufanya kama vile unamlalia…….bila kuachia miguu/mapaja yake, kufanya hivyo kutasababisha kisimi kiguse sehemu ya juu ya eneo la uume wake na kukusababishia pupate ile wanaita “Double O”.

Nashukuru kwa ushirikiano wako na pia naomba radhi kwa Kiswahili changu kibovu;

Ty.

Thursday

Sultan!


Ktk mkao huu mwanamke anakuwa mtendaji mkuu, mwanaume hapa anatakuwa kutulizana, kufuata maelekezo na kusogea akisogezwa,kuvutika akivutwa yaani yeye ni kufurahia utendaji wako (kule kwetu huwa tunafunzwa ku-treat wanaume kama wafalme/watemi) na hii ndio asili ya mkao huu ila sijasema kuwa utawaliwe ei!


Jinsi ya fanya.

Mkae mkiangaliana na wakati huohuo miguu imepanuliwa kwamba yeye atapitisha miguu yake sehemu ya kiuno ha hapo mnaweza kuanza kupeana mahaba kwa kukumbatiana, piagana busu, shikana, kumbatiana, papasana na hata kuambiana yale maneno matamu ambayo ukiwa nje ya chumba ni machafu si wayajua eeh? hey yaongee ikiwa unapenda au anapenda na yanawaongezea hamasa!


Taratibu mlaze mpenzi wako chali kitandani ukiwa katika mkao uleule kwamba uko mbele yake na umepanua miguu yako (yeye akiwa katikati), ikunje miguu yako sehemu ya magoti na nyanyua miguu yake na kuiweka kwenye mabega yako jivute kwa mbele ili mboo ili ikuingie vema.


Ktk mkao huu kiuno kinakwenda vema kabisa kwa vile wewe ndio mtendaji mkuu na yeye atakuwa ametulia tu akisikilizia utamu, huitaji kuharakisha au kumharakisha na badala yake chukua muda kum-pamper huku wamtomba (hey hapo mwanamke anatomba japo hahahah) pia unaweza ukabadilisha mwendo kwa kupiga nje-ndani (nenda mbele na nyuma) taratibu huku ukilamba/nyonya vidole vyake vya miguuni na anapofika kileleni mnyonye kwa kuvuta dole gumba la mguuni ili kumuongezea utamu (baadhi ya wanaume hupenda hiyo hivyo mjaribu na wako).


Kila la kheri ktk kufurahia miili yenu na asante sana kwa ushirikiano wako.


NB: Naomba radhi ikiwa kuna maneno yakiswahili nimekosea alafu mwisho mzuri wa wiki nawatakia ikiwa hatuto

Wednesday

Kipepeo

Kama unakumbuka niliwahi kuzungumzia mikao ya kukufanya ufike kunako utamu haraka ukisaidiwa na kiungo “’Bo”, vilevile nilielezea kwa kifupi tu kuhusiana mikao itakayoufanya misuli ya sehemu husika kukaza na wakati huohuo kufurahia tendo tukufu ambalo wanyama na ndege tumejaaliwa ila bin’adamu tumependelewa kidogo wewe unasemaje?

Umewahi kuona kuku wakifanyana? Simba je? Vipi mbuzi na ng’ombe? Yaani ni “one sec mnyama husika” mwee, achana na hayo!

Sasa leo naelezea hatua kwa hatua mikao yaki mahaba, unaweza ukawa unapenda nakupendwa lakini hamjawahi kufanyana ktk mikao ya kimahaba. Si unajua pale penzi linapochanganya? Basi unatakiwa kujitahidi na kuuweka uhusiano wako ktk kiwango hicho unless uko na lijamaa kwa sababu zako nyingine na si mapenzi ya kweli.

Mikao ya kimahaba niijuayo mimi si mingi kama ilivyo ya kungonoana (kuna tofauti ya kungonoana, kufanya mapenzi kawaida na kufanya mapenzi kimahaba; tutaeleweshana hili siku nyingine). Lakini unaweza uka-creat mwenyewe kutegemeana na mnavyojuana wewe na mwenza wako.

Mikao ya kimahaba hufanywa taratibu, kwa muda mrefu na kwa hatua hali itakayo kufanya ufurahie kila kitu kuanzia pumzi yake, mgusano wa ngozi zenu, harufu asilia ya miili yenu, mshiko wa viganja venu, ulaini wa midomo yenu, kusikilizia mapigo ya moyo, uzuri namvuto wa macho yenu, tabasamu n.k. hii itakusaidia wewe na mpenzi wako kuwa karibu zaidi na mnaweza kufurahia zaidi kuliko mnavyofanyana kawaida.

Mikao hii ya kimahaba inajulikana kwa majina ya Kipepeo, Sultan a.k.a mtemi, sigina a.k.a saga.

Kipepeo;
Muongoze mpenzi wako; anapaswa kuwa juu ya kitanda/sakafuni/mkekani na kupiga magoti kisha kukaa akiegesha makalio yake kwenye visigino hali itakayofanya makende/pumbu kugusa godolo na uume utakuwa juu kama kawaida.

Wewe unatakiwa kumkalia kwenye mapaja yake na kupitisha miguu yako sehemu yake ya kiuno (hakikisha miguu imegusa godoro/mkeka/sakafu inategemea mko wapi) bila shaka kablya hatua hii mtakuwa mmeisha anza kupigana mabusu ya mate, kupapasana/tomasana hapa na pale, kulambana n.k.

Mnapokuwa tayari (yeye kasimamisha na wewe umekuwa mnyevu) mpenzi wako atapaswa kuinua mguu wa kulia (wakati anafanya hivyo ataku inuka na wewe kumbuka ulikuwa umemkalia mapajani) hivyo atakuwa kasimamia goti moja la kushoto, na wakati huohuo atakuwa kakushikilia kiunoni kwa mkono mmoja na mwingine utakuwa umekushika pegani (atapitisha mkono wake kwapani kwako) kisha atakuingizia mboo.

Unachotakiwa kufanya ktk hatua hii ni kukata miuno ktk pande zote, kutumia misuli ya uke wako kubana na kuachia uume wakati yeye anaingia na kutoka, vilevile unaweza kufanya hivi; akiingiza wewe rudi nyuma yeye akirudi nyuma wewe peleka kidude mbele, si wajua mrindimo wa huu mchezo?

Haya kazi kwako na kila la kheri ktk kuboresha uhusiano wako.

Hee! Kumbe ni usiku hivi?…..Sultani na sigina nitaielezea kukicha. Asante sana kwa ushirikiano na uvumilivu wako, karibu tena!

Pages