Tuesday

Sigina a.k.a saga!

Haya wajameni ngoja sasa nimalizie na ile kitu inaitwa “sigina” au saga, lakini kabla ngoja nikupe hadithi ya mkao huu. Kule kwetu tunatumia zaidi karanga zilizosagwa na kuwa laini sana a.k.a “ntili” kama kiungo kwenye mboga au kuweka kwenye uji badala ya maziwa yaani kama ilivyo nazi ktk mikoa ya pwani.

Sasa ili kusaga hizo karanga mapaka ziwe “ntili” kwamba laini utahitaji muda wa kutosha kufanya hivyo na vilevile kubadili mikao (inategemea na uwingi wa karanga unazo sigina/saga).

Kwa kawaida unatakiwa kukaa na kupanua miguu kisha waweka jiwe katikati ya miguu yako na kuanza “kusigina”, ukichoka unabadili mtindo na hapo unapiga magoti, unapanua kiasi sehemuya mapaja kisha unainamia kidogo mahali lilipo jiwe na karanga juu yake ili uweze “kusigina” vema….yeah naona sasa unaanza kuelewa hehehehehe raha hizi! Huu ndio mwisho wa hadithi yangu, tuendelee sasa na somo la mkao wa kusigina a.k.a saga.

Baada ya kukuru-kakara za kuwekana sawa/tayari kwa kufurahia tendo takatifu, mlaze mpenzi wako juu ya kitanda/mkekani au kwenye sakafu (inategemea mnapenda wapi na usisahaukuwa comfy), panua na wakati huohuo shikilia miguu kitendo kitakachofanya mapaja yake yainuke pia alafu wewe jiweke kati (rejea jinsi ya kusaga “ntili” ukiwa umepiga magoti hapo juu).

Alafu sogeza mikono yako mbele zaidi ili ushike sehemu yake ya mapaja pale ktk ili usije ukaangaka, mara baada ya kuwa kwenye “control” jisogeze mbele ili uume ukuingie ukeni na kisha anza kwenda mbele-nyuma taratibu huku na badilisha mwenda jinsi uwezavyo.

Wakati wewe unafanya hivyo yeye anatakiwa kuzunguusha kiuno (sio wanawake tu tunaotakiwa kukata viuno, wanaume pia mnatakiwa kujua kucheza ngoma ei zile za asilia........hahahahaha mtakoma) au hata kujisogeza huku na huku ili agonge pombe zote za uke na kuwafanya wote mfurahie mnachokifanya.

Ikifikia wakati umechoka au unakaribia kufika kunako utamu basi jaribu kufanya kama vile unamlalia…….bila kuachia miguu/mapaja yake, kufanya hivyo kutasababisha kisimi kiguse sehemu ya juu ya eneo la uume wake na kukusababishia pupate ile wanaita “Double O”.

Nashukuru kwa ushirikiano wako na pia naomba radhi kwa Kiswahili changu kibovu;

Ty.

No comments:

Pages