Sunday

KAZI YA KISUNZU/MZUZU KATIKA KUPEANA RAHA KIMAPENZI

Kisunzu ni ndevu za kwenye kidevu chini kidogo ya lips zako kama zinavyoonekana kwenye picha hapo.

Watu wengi huzifuga kwaajili ya fashion tu, ila kuna wachache wanaojua
kazi zao kwa ufukunyuku wangu nimeambiwa wapemba ndo huwa wanazitumia sana, ok hayo hayatuhusu iwe kweli iwe uongo mi naenda kuwaambia jinsi zinavyotumika.


Kwanza kabisa hicho kisunzu chako lazima kiwe kimechongwa vizuri sio kimekaa tu hovyo hovyo, pia ni lazima kiwe laini hivyo ni muhimu kuwa unapakaa mafuta ambayo yatafanya ndevu zako ziwe laini.

Sasa matumizi yake kwenye sita kwa sita ni hivi katika kupagawishana na mpenzio namaanisha unapokuwa unamnyonya mwezio unakitumia kisunzu chako kama unasugua kwenda juu na kurudi chini kwenye ile sehemu yetu ya utamu na kama kisunzu chako kikavu na kigumu kama msasa basi acha tu, manake utamchubua mwenzako ila kama ndo umekilainisha na mafuta ni kilaini basi huyo mwanamke lazima apagawe na nadhani atashangaa huo utundu umeutoa wapi manake si wengi wenye ujuzi huu.

Si kila siku unampa mambo yaleyale badilika, vitu vingine unaweza ukajitungia tu kichwani na ukajaribu ukajikuta unampagawisha mwenzio.

No comments:

Pages