Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito
Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo.
Leo nitazungumzia staili MBILI ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na
panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetuanaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake.
DOGGY STYLE: Hapa mwanamke anapaswa kUINAMA AU KUPIGA MAGOTI na kushikilia ama kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume huweza kusikia raha ya tendo na kuigusa G-Spot vizuri itawapa raha wote
na kumbuka mwanaume hutakiwi kuingiza mboo kwa kasi kama unakimbizwa kama mama ashafikisha miezi sita na kuendelea
SPOON/KIJIKO STYLE: hapa mwanamke hujilaza kwa
ubavu na kukunja miguu yake kidogo ili uke uwezekujitokeza nje vizuri zaidi hapa mwanaume anatakiwa naye awe amejilaza kiubavu ili kuruhusu mboo kuingia ndani vizuri na bila ya kumuumiza kiumbe kilichopo tumboni
hapa pia mwanaume hutakiwa kwenda pole pole na style hii humfikisha mwanamke mjamzito kileleni na ni nzuri kwa mama mjamzito miezi 5+
MUHIMU:
Ni kweli katika kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujisikia kuchokachoka sana hali inayowafanya wasipende kushiriki tendo la ndoa, lakini hali huwa tofauti kwa wanaume wengi pindi wapenzi wao wawapo wajawazito kwani ni kipindi ambacho mwanaume hufurahia sana kushiriki tendo la ndoa na mjamzito kutokana na ukweli kuwa katika kipindi hiki mwanamke huwa na joto lakutosha sehemu zake za siri, joto ambalo humfanya mwanaume apagawe.
Hivyo mjamzito anapaswa kuhakikisha anafanya kila analoweza kumpa mwenza wake unyumba isipokuwa tu endapo atakuwa ameshauriwa na daktari kutoshiriki tendo la ndoa kwa sababu za kitaalam!
Ukisoma makala haya, tfadhali mjulishe na mwenzio ili ajifunze jambo
No comments:
Post a Comment