Wednesday

Wifi na Shemeji walinishawishi nimuache mdogo wao, sasa najuta!-Ushauri

"Pole dada Dinah kwa kazi ngumu, mimi ni mwanablog wako wa muda mrefu. Nimesoma kisa cha dada Rhoda wa Mwanza aliye sex na shemeji yake na mimi imenitia moyo kusema ya kwangu ambayo na dhani ya kwake ni trailer sinema kamili iko kwangu.

Naomba nisitaje jina langu ila mimi ni mwanamke wa Kichaga nilikuwa na boyfriend wangu miaka ya nyuma ambaye wakati nakutana naye alikuwa anasoma Chuo kimoja hapa Dsm na mimi nilikuwa nasoma Chuo cha mambo ya Hoteli.

Tulikuwa tunapendana sana na kwa kweli yeye ndio alinitoa usichana wangu na kuniingiza katika ulimwengu wa mapenzi. Jamaa alikuwa ni mtu wa mazoezi so alikuwa fit everywhere kitandani. Mammbo yalienda vizuri mpaka kufikia maamuzi yakufungandoa atakapo maliza chuo na kupata kazi.

Kimsingi jamaa alikuwa ananitomba vizuri na alikuwa fit na mpaka niandikapo mail hii sijawahi kutombwa hivyo. Wakati jamaa anasoma alikuwa akiishi kwa kaka (baba zao ni mtu na mdogo wake)yake ambaye alikuwa ameoa na ni mfanyakazi Serikalini.

Lakini kwa bahati mbaya mke wa kaka yake alifariki wakati ambao mchumba wangu alikuwa amemaliza Chuo anatafuta kazi. Namwita mchumba kwa sababu process zote za kutambulishana tulikuwa tumekwisha zifanya.

Baada ya kaka mtu kufiwa na mke wake Wifi ambaye ni tumbo moja na kaka yake mchumba wangu akaanza kunishawishi nimwache mchumba wangu ambaye ni kama mdogo wake ili niolewe na kaka yake ambaye amefiwa na mke.

Kakamtu na dada yake (wifi na shemeji yangu) wakawa wanafanya kampeni kubwa ili mimi nimwache mchumba wangu ambaye ni mdogo wao kwa baba mdogo ili niolewe na kaka yake. Ikafikia mpaka kunidanganya kwamba mama yake mchumba wangu ambaye ni mama yao mdogo ni mchawi.

Nikaanza visa kwa mchumba wangu na baadae nikiamwacha ingawa alikuwa aninipenda sana na yeye alifikiria nimemwacha kwa sababu hana kazi kwani wakati huo alikuwa bado hajapata ajira. Nikaanza mapenzi ya siri na kaka yake bila yeye kujua na mchumba wangu huyo baada ya kunishawishi kwa muda mrefu turudiane akakata tamaa na kutafuta mchumba mwingine na alipopata kazi wakaoana.

Kwa bahati nzuri alihamishiwa Arusha kikazi ndipo mimi na kaka yake tukapata wasaa mzuri wa kuwa huru hapa Dsm na kuatangaza uchumba wetu. Kaka mtu alitumia nguvu nyingi sana kuhalalisha uchumba wetu ingawaje alipata vikwazo vingi sana kutoka kwa ndugu na jamaa waliokuwa wanafahamu kwamba mimi nilikuwa mchumba wa mdogo wake.

Kwa sababu ni mtu mzima (amenizidi miaka 12 kiumri) na ni mtu mwenye uwezo nyumba na magari hakupata vipingamizi vyovyote tukafanya bidii tukafunga ndoa.

Tatizo.
1.
Baada ya ndoa nimekuja kugundua mume wangu huyu hana nguvu za kiume na hii inatokana na uzito mwingi na kunywa pombe kupita kiasi. Mwanzoni wakati tunaoana nilidhania ni tatizo dogo kwa sababu tulikuwa hatuishi wote ila baada ya kunioa mwanume anakaa hata mwezi mboo haisimami.

Nimejaribu kuvumilia nimechoka, nimetamani kwenda nje ya ndoa lakini naogopa kwani mwanaume huyu anawivu na ananichunga sana. Nikikumbuka mchumba wangu wa mwanzo ambaye ni mdogo wake alivyokuwa aninitomba naatamani nimwache nimrudie ila jamaa hataki hata kuniona.

Nimejaribu kumtega hategeki na anaiambia hawezi kuingia kwenye shimo(kaburi) ambalo alishaingia akaokoka au ananiambia hawezi kuingia kwenye shimo moja na kaka yake. Mume wangu ananipa kila kitu nyumbani, chakula, magari, biashara ila mwanamke sitombwi nakaa hata miezi mitatu mume hajui kama nina kuma au sina.

Naombeni ushauri nifanyeje jamani kuachana tunashindwa kwa sababu ya nguvu tuliyo tumiaa kuahalalisha uchumba wetu na ndoa baada ya mimi kumwacha mchumba wangu ambaye alikuwa mdogo mtu.

Dinah anasema: Sahau Ex wako ambae ni mdogo Mume kwani umechelewa hivi sasa na yeye tayari anamke wake hivyo muache aishi kwa amani na hakikisha unadumisha heshima na thamani ya ndoa kw akutoingilia ndoa hiyo ili uwe mfano bora kwa vijana wengi ambao hawajafunga ndoa.

Huyu ni mume wako sasa, iwe uwezo wake wa kungonoka na mdogo au haupo kabisa haibadili ukweli kuwa ni mume wako ambae ulikula kiapo Mbele ya Mungu kuwa utakuwa muaminifu kwake, utaishi nae kwa uzima na maradhi.

Kutokana na maelezo yako ni wazi kuwa Pombe ni sababu kuu ya yeye kushindwa kukuridhisha kimapenzi, kwani pombe inapunguza nguvu za kiume kwa kasi ya ajabu hasa kwa wanaume wenye umri zaidi ya miaka 35.

Sasa wewe kama mke wake ni jukumu lako kuhakikisha jamaa aishi maisha yenye afya ili kuepuka matatizo mengine ya kiafya sio ngono pekee. Zungumza nae kuhusiana na tatizo lake la ulevi, nakuhakikishia akipunguza kunywa pombe uwezo wake wa kungonoka utakuwa mzuri tu.

Vilevile wewe unatakiwa kutuliza mawazo na akili yako juu ya huyo Mumeo na kuwa mbunifu zaidi na kumfundisha mbinu nyingine za kukuridhisha kingono na hivyo kuwa na uhusiano bora wa kingono ambao utawasogeza karibu zaidi na hivyo kuibua hisia za kimapenzi keati yenu...kumbuka ni Mumeo huyo.

2.Watoto aliozaa na mke wake wa kwanza ambaye ni marehemu wameisha kuwa wakubwa na hawanipendi na huwa wananiita Malaya kwa kuchanganya baba yao na baba yao mdogo hivyo ni ugomvi kila siku kwani walipokuwa wadogo walikuwa wanajua mimi ni mchumba wa uncle wao. Nikimwambia baba yao watoto hawaniheshimu anashindwa kuwakemea kwa sababu anawapenda sana.

Dinah anasema: Sio watoto tu wanaokuvunjia heshima nina hakika sehemu kubwa ya familia ya huyo Mumeo wanahisia mbaya sana juu ya uamuzi uliochukua. Huna haja ya kushitaki watoto kwa baba yao kwani wewe mwenyewe ulishindwa kujiheshimu siku ile ulipokubali kuwa mpenzi wa Shemeji yako.

Watoto hao sio tu anawapenda pia kuna huruma ndani yake, watoto kuendesha maisha bila mama yao hapa duniani ni ngumu tayari, sasa kwanini makosa yako mwenyewe yawaongozee ugumu wa maisha?

Jitahidi kuwa mvumilivu na siku ukiweza, jaribu kuweka wazi ni nini hasa kilitokea, waambie watoto hao ukweli kuwa wewe hukutaka kuolewa na baba yao bali baba yao na shangazi yao ndio waliokushawishi uachane na Baba yao mdogo kwa sababu ambazo mwenyewe na mumeo mnazijua. Hii itasaidia watoto hao kuelewa ukweli wa mambo na kupunguza attacks kwako, lakini haitorudisha heshima kwako.

3.Wifi yangu ambaye ndio alinishawishi niachane na mdogo wake niolewe na kaka yake amekuwa adui yangu mkubwa baada ya kuona maslahi aliyokuwa anayapata wakati anafanya kampeni niolewe na kaka yake hayapati tena baada ya mimi kuolewa ananiita mimi opportunist imefata mali za ndugu yake.

Dinah anasema: Mawifi wengi Duniani hivyo ndivyo walivyo, iwe wameshiriki kuharibu au kufanikisha siku zote mke wa kaka yao utakuwa adui tu. Achana nae na focus zaidi kwenye maisha yako na mumeo.

4.Shemeji yangu ambaye alikuwa mchumba wangu amezidi kuwa Handsome na mwili wake wa mazoezi namtamani mpaka namwota usiku anaitomba najaribu kumshawishi angalau anifanye chochote anachotaka mradi anitombe hata mara moja tu amegoma, amejaaliwa uume mkubwa, mgumu na mweusiiii ambapo mume wangu hata ikisimama hamfikii nusu kwani uume wake ni flabby and lazy.

Dinah anasema: Mamaa P hiyo ngono ya mara moja itabadilisha nini? Sana sana hizo dk 20 mpaka ufike kileleni zitamharibia jamaa ndoa yake ambayo sidhani kama angependa iharibike na ndio maana hashawishiki, kwa kifupi baada ya kutendwa na wewe sidhani kama atakuwa na nguvu za kumtenda mkewe na mtu aliemtenda....sijui unanielewa! Hivyo achakupoteza muda wako kumfirikia shemeji yako.

Of cause Ex wako utaendelea kumuona anavutia na anapendeza zaidi, ulimpenda na ulimuacha ukiwa bado unampenda. Mwenyewe umedai jamaa alikuwa fit sasa kama mkewe anamuangalia vizuri na kuhakikisha jamaa anaendelea kupendeza na kuvutia.....utalaumu kweli? Hilo ndio jukumu letu kuu kwenye ndoa....kuwatunza waume zetu kama wao wanavyotutuza sisi...hivyo na wewe fanya the same kwa mumeo. Kama ulikubali

Msinitukane jamani naombeni ushauri.

Ni mimi

P
Dsm. "

Dinah anasema: Asante sana kwa ushirikiano Dada P, nadhani wachangiaji wengi wamegusia points muhimu na hakika umezifanyia na somehow kusaidi kuanza kufanya uamuzi wa busara.

Hapo kuna mawili, Moja baki kwenye ndoa yako na jitahidi kumsaidia mumeo kuacha pombe ili uwezo wake wa kungonoka urudi na vilevile mfundishe/elekeze mbinu nyingine ili ajue namna ya kukurishidha kingono kwa kutumia njia nyingine ili kuongeza ukaribu wenu na kuibua hisia za kimapenzi.

Au, Mtaliki mumeo na kuendelea namaisha yako kama wewe, Mungu akijaali utakutana na mwanaume mwingine na ku-share maisha yenu. Lakini kamwe na ni marufuku kujipendekeza kwa Mume wa mtu, ulipewa nafasi ya kuwa nae lakini ukaichezea na kuipoteza, mwingine kaipata nafasi hiyo hivyo haiwezi kurudi tena kwako......waswahili walisema "Bahati haiji mara mbili".

Bibi yangu alisema " Jenga heshima kwa Ndugu na rafiki wa mumeo ili na wao wakuheshimu, kamwe usirafikiane nao kwa vile tu umeolewa na Ndugu yao"

......sentesi hii inamaanisha kuwa kinachoepusha hisia za kimapenzi kati yako na wanaume/wanawake wengine kwenye familia mbili tofauti ni HESHIMA.

Kila la kheri!

1 comment:

Anonymous said...

Ninapenda kushiriki uzoefu wangu, jina langu ni Joy kutoka London.
Baada ya miaka minne ya ndoa, mume wangu aliamua tu kuondoka. Nilifanya kila niwezalo kumrudisha, lakini yote yalikuwa bure, nilitamani sana arudi kwa upendo ninaompenda, nilimsihi kwa kila kitu, niliahidi, lakini alikataa. Nilimweleza rafiki yangu tatizo langu na akapendekeza niwasiliane na Dk.Sango ili anisaidie kutupilia mbali mpango wa upatanisho na kuurudisha. Sikuwa na chaguo ila kujaribu. Nilimfahamisha Dr.Sango na akanihakikishia kuwa hakuna shida na kila kitu kitakuwa sawa siku tatu zilizopita. Alikuwa amechanganyikiwa na kwa mshangao wangu siku ya pili mume wangu alinipigia simu. Nilistaajabu sana, niliitikia simu na kusema tu anajuta sana kwa yote yaliyotokea, alitaka nirudi kwake. Ikiwa unahitaji usaidizi, unaweza pia kuwasiliana na Dr.Sango kwa matatizo yoyote kati ya yafuatayo,
1) Maneno ya mapenzi
2) Maneno ya upendo yaliyopotea
3) Talaka za talaka
4) Miujiza ya kufunga.
6) Vielezi vya disassembly
7) Ondoa mpenzi wa zamani
8.) Unataka kupandishwa cheo katika ofisi/bahati nasibu yako
9) Kukuza uume
10) Tatizo la ujauzito
Wasiliana na Dr.Sango kwa barua pepe ifuatayo spellspecialistcaster937@gmail.com

Pages