Monday

Mama Rahma, toka nimejifungua mmmh!-Ushauri.

"Hongera dada dinah.mimi ni mama mwenye mtoto 1nimeolewa miaka 2 iliyopita. Namshukuru mungu namrizisha mume wangu tatizo linakuja baada kujifungua nilikata ku-bleed kwa miezi 5 baada ya hapo nilianza kutumia dawa za uzazi November 2007, lakini nilishindwa kuzimudu kiasi kwamba mume wangu ilikuwa akinikumbusha kila siku.


December 3, nikaamua kuweka iud/kitanzi Doctor wangu aliniambia nita-bleed bila mpangilio after 2 month itaacha. lkn ninavyokwambia mpaka sasa na-bleed bila mpango nikitombana mimaji kila saa nafuta hata mboo yenyewe siisikii na nyege zimeisha wasiwasi wangu nitamchosha mume wangu na kutoka nje saa nyingine mboo iko kumani damu inatoka naomba ushauri je nikawaida au ninamatatizo wamama wenzangu naombeni mnisaidie, Mama Rahma wa Mikocheni"

Jawabu: Rahma kwanza kabisa napenda nikupe pole kwa tatizo unalokabiliana nalo, pili nakupa hongera kwa kuwa wazi. Tatizo la maji maji mengi huwatokea wanawake wengi wanaotumia madawa ya kuzuia mimba.

Sote tunafahamu kuwa kuna baadhi hupatana/endana nayo na wengine huhangaika kubadili-badili ili kupata ile moja ambayo haitowasumbua au kuwasababishai mabadiliko japokuwa karibu madawa yote yanasababisha matatizo makubwa kwenye mwili wa mwanamke.

Lakini tatizo la kuhisi maji-maji wakati unafanya mapenzi linawezekana linasababishwa na Saikolojia yako kuwa unajua kuwa uke wako umepanuka kutokana na kujifungua hivyo unaponyevuka (kuwa/kupandwa na nyege) na tendo kuendelea unaanza kuhofia zaidi hali unayoihisi kule chini (unyevy kupita kiasi).

Sasa kwa vile wewe umekuwa ukitumia madawa ya kuzuia mimba kuna uwezekano mkubwa kuwa unamchanganyiko wa vitu vitatu.......(1) Kisaikolojia (2) Madawa uliyowahi kutumia na (3) kutofungwa vema/kujeruhiwa baada ya kuwekewa kitanzi.


Nasikitika kusema kuwa tatizo lako ni la kitibabu zaidi hivyo nitakushauri ukamuone Daktari wa maswala ya uzazi wa mpango ambao wanapatika kwenye kila Hospitali Tanzania kwa ushauri zaidi na hatimae kuzuia swala zima la utokwaji wa damu.

Ukiondokana na tatizo hilo la kutokwa na damu mara kwa mara na ukaendelea kujihisi kuwa unamaji-maji kila ufanyapo tendo la ndoa basi nakushauri uwe ukifanya mzoezi ya kubana misuli ya uke kisha tumia "Vinegar" kwenye maji yako ya kuoga, weka kidogo tu kisha kaa kwenye maji hayo ambayo yatakuwa kwenye "bath tab" lakini kama huna basi tumia Karai au beseni kubwa litakalokurahisishia kukalia maji hayo yaliyochanganywa na "Vinegar".

Loweka uke wako kwa muda wa dakika kama kumi na tano hivi na fanya hivyo mara moja kwa wiki. Hii itasaidia kupunguza umaji-maji ndani ya uke wako.

Tafadhali fanya hii mara tu baada ya tatizo la damu kuisha.


Kila la kheri.

***Tafadhali kama unauzoefu na hili nitashukuru sana kama utachangia ili sote tujifunze kitu ambacho ndio lengo kuu la mahali hapa. Asante.

No comments:

Pages