Sunday

Samhani! Lakini hii imeniuma sana.


Well, mimi binafsi sijawahi kuona haya mambo yakukeketwa mpaka asubuhi hii; Jamani kuna mila za kutokomeza.....huu ni ukatili wa hali ya juu.




Inaudhunisha sana.


Nitaendelea na somo la mwisho la matiti, pole kwa usumbufu.

No comments:

Pages