Monday

Utunzaji wa Matiti


Nilipokuwa na kuwa, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza.


Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisha eti ni binti mwenye matiti.


Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk makabila fulani kwambailikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nani ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio).


Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi na mtiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba chikilimu (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!


Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kunajinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).


Usicheze mbali naja na maelezo mengine kukamilisha somo hili.


Asante kwa ushirikiano wako.

No comments:

Pages